Tuesday, October 8, 2013

Staff

Bwana Paul Kiwera Mkaguzi Mkuu wa ndani wa Shirika la Masoko ya Kariakoo akiwa Ofisini kwake.
Katika picha hapo juu ni Bwana Flavian Mlellwa Mkuu wa kitengo cha Uhandisi  katika  Shirika la Masoko ya Kariakoo akiwa Ofisini kwake.
Bwana Rogers Kuyonga akiwa Ofisini kwa Muhandisi wa Shirika akipewa maelekezo ya namna ya kuwatangazia matangazo mbalimbali wafanyabiashara wa sokoni hapo, mkononi mwake akiwa ameshika kipaza sauti.


Baadhi ya Mitambo inayo tumika kwa ajili ya kutangaza matangazo mbalimbali katika Shirika la Masoko ya Kariakoo; Soko kuu la Kariakoo lipo Jijini DSM.

ICT Infrustracture Survey for KMC

Bwana Frank Mangowi Mtaalamu wa ICT wa Shirika la Masoko ya Kariakoo akiwa juu ya paa la Soko Kuu la Kariakoo lililopo Jijini Dar Es Salaam akifanya savei  kwa ajili ya kufunga mitambo ya mawasiliano ya mtandao (Network survey) mapema leo asubuhi.


Pichani hapo juu Bwana Frank Mangowi (Mtaalamu wa ICT) amesimama katika paa mojawapo la soko kuu la Kariakoo jijini DSM.Ufahamu pia paa lote la soko kuu limetengenzwa kwa zege zito la cementi (heavy concete)
Hii ni sehemu tuu ya mapaa kadhaa ya Soko Kuu la Kariakoo lililopo Jijini Dar Es Salaam.Jengo hili lina miaka 39 tangu lilipozinduliwa na kuanza kutumiaka mnamo tarehe 8 Desemba 1974.
Bwana Rogers Kuyonga akiwa juu ya paa la Soko kuu la Kariakoo akirekebisha nyaya za mawasiliano ya Redio ya mawasiliano(Radio call) ili kuleta ufanisi bora wa mawasiliano ndani na nje ya soko kuu hapa Jijini Dar Es Salaam..

PEMBEJEO ZA KILIMO ZINAPATIKANA KARIAKOO SOKONI





Pichani ni Bw. Massawe akionesha chupa yenye dawa ya kuzuia magugu, hii ni baadhi ya bidhaa zinazopatikana ndani ya duka lake. dawa nyinginezo zinazopatikana dukani kwake ni hizi zifuatazo
Carate hii ni dawa ya kuua wadudu kwa Sh. 15000/=
Rondo hii ni dawa ya kuzuia magugu Sh. 13000/=
Roundup Sh. 14000/= kwa bei za sasa.
Zaidi sana kwa mahitaji yako ya shughuli za kilimo fika dukani Kariakoo ndani ya Soko kuu

Massawe akionesha dawa aina ya Karate ya kuua wadudu katika mimea

Pichani ni duka la (Emanuel Agro) ambalo Bw. Massawe ni muuzaji wa  pembejeo za kilimo.
unaweza kumpata  Bw. Massawe kwa mawasiliano piga simu namba  0787  021078 au 0714  828809