Monday, March 23, 2015

Wanawake na Maendeleo!!

 Katika picha mbalimbali zinaonesha Wanawake kutoka Shirika la Masoko ya Kariakoo wakiwa katika mapozi tofautitofauti  siku ya tarehe 8Machi 2015 walipokuwa wakiadhimisha siku ya Wanawake Duniani wiki mbili zilizopita katika Viwanjavya Mnazimmoja Jijini Dar Es Salaam.







Wanawake wakiwa katika viwanja vya Mnazimmoja wakiendelea na maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani tarehe 8 Machi 2015.

Mjasiriamali wa Vitunguumaji

Katika picha hapo juu ni mjasiriamali akiwa anachambua vitunguumaji kwa ajili ya kuuzia wateja wakifika hapo ubaoni kwake.Jina lake halikufahamika maramoja mapema leo asubuhi! Biashara ya vitunguumaji inafanyika kwa kiasi kikubwa eneo la Shimoni katika Soko hili. Vitunguu hivi hupatikana kwa bei ya jumla na rejareja. Karibu sokoni Kariakoo!