Monday, March 9, 2015

Sokoni Kariakoo leo

Katika picha hapo juu ni moja ya wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo eneo la Shimoni ambaye yeye hufanya biashara ya matango na karoti. Hivi ndivyo alivyokutwa katika meza yake ya biashara mapema leo asubuhi.

Katika picha hapo juu ni Samaki wakavu ambao wanauzwa hapa katika Soko Kuu la Kariakoo. Asilimia kubwa ya samaki hawa huingizwa katika Soko Kuu hilikutoka mikoa kama Kilimanjaro,Iringa,Dodoma.Kwa bei za jumla na rejareja na samaki hawa huuzwa eneo la Shimoni katika soko la samaki.