Tuesday, October 8, 2013

ICT Infrustracture Survey for KMC

Bwana Frank Mangowi Mtaalamu wa ICT wa Shirika la Masoko ya Kariakoo akiwa juu ya paa la Soko Kuu la Kariakoo lililopo Jijini Dar Es Salaam akifanya savei  kwa ajili ya kufunga mitambo ya mawasiliano ya mtandao (Network survey) mapema leo asubuhi.


Pichani hapo juu Bwana Frank Mangowi (Mtaalamu wa ICT) amesimama katika paa mojawapo la soko kuu la Kariakoo jijini DSM.Ufahamu pia paa lote la soko kuu limetengenzwa kwa zege zito la cementi (heavy concete)
Hii ni sehemu tuu ya mapaa kadhaa ya Soko Kuu la Kariakoo lililopo Jijini Dar Es Salaam.Jengo hili lina miaka 39 tangu lilipozinduliwa na kuanza kutumiaka mnamo tarehe 8 Desemba 1974.
Bwana Rogers Kuyonga akiwa juu ya paa la Soko kuu la Kariakoo akirekebisha nyaya za mawasiliano ya Redio ya mawasiliano(Radio call) ili kuleta ufanisi bora wa mawasiliano ndani na nje ya soko kuu hapa Jijini Dar Es Salaam..

No comments:

Post a Comment