Tuesday, October 1, 2013

Diamond: Vitunguu safi vinapatikana hapa!

Mfanyabiashara wa Sokoni Kariakoo  anayefahamika kwa jina la  "Diamond" ambalo ni jina la kaka yake (Mwanamziki wa kizazi kipya) akiwa katika sehemu yake ya  kazi. mawasiliano  ni 0717 150338

Diamond

 Karibuni kariakoo Sokoni, ujipatie mahitaji yako mhimu kama vitunguu maji, vitunguu swaumu, tangawizi  nakadharila kama inavyoonekana hapo pichani duksni kwa Nasoro Atanas.