Thursday, October 3, 2013

KIKUNDI CHA KUSAIDIA WASIOJIWEZA KIKITOA BURUDANI SOKONI KARAIAKOO.


 Umati wa watu wakiwa wanashuhudia burudani iliyokuwa ikitolewa na moja ya kundi linalo jihusisha na kusaidia wasiojiweza. Kikundi hicho ambacho leo kilikuwa kikifanya shughuli zake katika eneo  la Masoko ya Kariakoo mapema leo asubuhi! kama picha zinavyoonesha.


 Askari akihakikisha usalama unakuwepo eneo la tukio kama anavyoonekana wakati watu wakipata burudani iliyokuwa ikitolewa na kikundi cha kusaidia wasiojiweza.

Hawa ndiyo waandaaji wa tukio zima, kama wanavyoonekana pichani,wakiwa karibu na Ma-DJs waliokuwa wakisherehesha tukio hapa sokoni Kariakoo mapema leo asubuhi!

Mmoja wa waliohusika kuandaa tukio akiandaa bango la kitambaa.

watu wakishuhudia burudani iliyokuwa ikitolewa!


Miongoni mwa waandaaji wa tukio ambaye jina lake halikufahamika mapema akitoa burudani.

Pichani ni baadhi ya nguo zinazotolewa kwa wasiojiweza

Mafundi mitambo wakiweka sawa mitambo yao tayari kwa burudani!