Tuesday, January 21, 2014

BCS - WAUZAJI WA MBEGU BORA ZA KILIMO CHA KISASA, WANAPATIKANA SOKONI KARIAKOO

Pichani hapo juu ni mifuko maalum ya kuhifahdia mbegu bora za nyanya, kama inavyoonekana hapo pichani. Mbegu hizi zimehifadhiwa katika mifuko yenye ujazo tofauti tofauti. Ipo ya Gram 10, Gram 25.  Mbegu hizi zinauzwa kwa bei ya Shilingi 5,000/= kwa mfuko.
Pichani hapo juu ni kopo maalum la kuhifadhia mbegu bora za bamia, kama inavyoonekana hapo pichani. Mbegu hizi zimehifadhiwa katika kopo yenye ujazo tofauti tofauti. Ipo ya Gram 10, Gram 25. Mbegu hizi zinauzwa kwa bei ya Shilingi 5,000/= kwa kopo

Huu ni mwonekano wa duka la BCS, Unaweza kuwasiliana nao kwa mawasiliano yafuatayo
+255 (0)754 272853
+255 (0) 787272 853
+255 (0) 715572 853



3 comments:

  1. Nimehangaika sana kutafuta wauzaji wa mbegu na maelezo kamili ya mbegu wanazouza bila mafanikio. Kwa bahati nzuri nimepata ukurasa huu ambao kwa maoni yangu hauna taarifa za kutosha, badala yake naambiwa nipige simu kana kwamba njia ya mawasiliano ya mtandaoni kama si rasmi. Wekeni taarifa ya kila mnachokifanya na mlichonacho humu ili ninapokupigia simu nifanye hivyo kwa ajili ya kuweka oda. Maelezo ya msingi kuhusu mbegu yanapaaswa kuwa humu kwenye tovuti yenu.

    ReplyDelete
  2. je gram ngap za mbegu za bamia zitatosha kwenye shamba ya ekar 1

    ReplyDelete