Thursday, February 5, 2015

Biashara ya vitunguu Sokoni

 Pichani hapo juu ni miongoni mwa Wafanyabiashara wa biashara ya vitunguu katika Soko Kuu la Kariakoo Bwana Abdul.Mfanyabiashara huyu yeye huuza vitunguu saum na tangawizi, pia na viungo vya pilau kama anaonekana katika  meza yake.Bei ya tangawizi iliuzwa kwa Sh.6000/- kwa kilo na Vitunguu saum ilikuwa Sh.8000/-
Vitunguu maji ni miongoni mwa bidhaa ambazo hupatikana katika katika Soko la Kariakoo. Bei ya vitunguu kwa jumla ni Sh.130,000/- kwa gunia.wakati kwa bei ya rejareja ni kati ya Sh.1000 na 1500.

1 comment:

  1. Boresheni mtandao kwa kutuwekea bei za mazao angalo mara mbili kwa wiki. Hii hapa naona toka mliboresha mwezi Febaruari maka 2015 na huu ni mwezi Oktoba 2018!

    ReplyDelete