Friday, March 20, 2015

Bwana Shirazi ambaye ni Mfanyabiashara wa njegere alikutwa akizimeenya kama sehemu ya matayarisho ya biashara yake hiyo ili wateja wake wakifika aweze kuwapimia, bei ya njegere kwa Sokoni hapa Kariakoo ni kati ya Sh.6000/= hadi Sh.7000/= kwa kilo moja. Njegere ni miongoni mwa  mazao ambayo huingizwa katika Soko Kuu la Kariakoo kila siku kutoka mikoni.

No comments:

Post a Comment