Tuesday, March 31, 2015

Bidhaa zaongezeka bei Sokoni Kariakoo

 Bei ya karoti ni kati ya Sh.1500/= hadi 1800/= kwa Kilo moja bei ya rejareja  na wakati  Pilipili hoho ni kati ya sh.1500/= hadi 1700/= kwa Kilo moja.
Msimu huu nyanya zimepungua kwa kiasi kikubwa ,hii ni kutokana hali ya hewa kwa sasa ni mvua nyingi zinanyesha mikoani  hivyo hata uzalishaji wake si mzuri. Kutokana na hali hiyo basi nyanya zimepanda bei kwa kiasi kikubwa! kwa kufikia sh.2000/= hadi 2500/= kwa kilo moja.

No comments:

Post a Comment