Wednesday, November 6, 2013

EMMA MACHEREHANI: Wauzaji wa Cherehani Sokoni Kariakoo

 Pichani hapo juu ni duk la Emma Macherehani lililopo ndani ya soko Kuu la Kariakoo, hawa ni wauzaji wa kubwa wa Cherehani aina zote kama vile Buterfly, Zou 43, Usha, Juki, mashine za Sweta Overlock size zote. Mashine za ngozi, Mikasi ya umeme na kawaida, Mashine za kudalizi kama Taking, Aksa,nyuzi aina zote pamoja na spea mbalimbali za cherehani.

 Hii ni sehemu ambayo mteja anaingia na kuchagua cherehani anayoitaka mwenyewe, kama zinavyoonekana pichani hapo juu, zipo aina nyingi za cherehani kwa bei za kuridhisha kabisa. Karibuni wote Kariakoo sokoni katika duka linaloitwa Emma Macherehani mjipatie cherehani bora na imara.

Pichani hapo juu ni Clara Kaaya ambaye ni Mkurugenzi  wa Emma Macherehani sokoni Kariakoo Jijini Dar es Salaam- Tanzania akiwa ofisini kwake mapema leo asubuhi.



Cherehani ya kisasa ya kushonea nguo, cherehani hii inatumia umeme, jipatie cherehani hii dukani kwa Emma Macherehani;wapo ghorofa ya kwanza ndani ya soko kuu Kariakoo Jijini DSM


 Pichani ni (Overlock machine) hii ni cherehani ya kudalizi, bei yake ni nafuu sana, jipatie kwa Tsh 1,500,000=/ ni mashine imara na  inayoweza kurahisisha shughuli zako za kudalizi nguo mbalimbali na kwa ufanisi zaidi.








 Hii ni mashine ya kuprinti tisheti, ni mashine inayotumia memory card au USB Cable, kwa wale wenye shughuli za kuprint basi mshine hii inawafaa sana. Karibuni Emma Macherehani.waliopo Kariakoo hapa Jijini DSM

Huu ni uzi kwa ajili ya kushonea nguo za aina mbalimbali, pia uzi huu unapatikana kwa Emma Macherehani sokoni Kariakoo

Pichani hapo juu ni Mota za cherehani na spea mbalimbali, pia zinapatikana sokoni Kariakoo jijini Dar es Salaam-Tanzania
Emma Macherehani unaweza kuwapata kwa mawasiliano yafuatayo.
+255 755363157
+255 717 830 813
Email: emmanuelikaonya@yahoo.com

104 comments:

  1. OK ASANTA SANA KAKA NINASHIDA NA CHEREHANI KADHAA HIVO KESHO ASUBUHI NITAKUPIGIA SIM TUZUNGUMZE

    ReplyDelete
  2. Habari za Leo ndugu yangu nauliza vipi bei ya cherehani aina ya butterfly zimefika bei gani?
    Plz naomba unijibu kupitia email address yangu ni Kelvinlazaro36@gmail.com

    ReplyDelete
  3. Replies
    1. Sikia Mimi ninayo yangu mpya sija wahi kutumia nipigie tuongee 0625675311

      Delete
    2. Naitaji mashine ya zigzaga ,,,shingapi nijuzeee hata kwa SMS no 0657856235

      Delete
  4. Bei za mashine ni muhimu zingewekwa bayana ili tununue

    ReplyDelete
  5. Naweza pata machine ya brother s400 kwa bei gani hapo

    ReplyDelete
  6. Ingekuwa vizuri ukiweka aina za cherehani na bei zake.

    ReplyDelete
  7. Naomba kujua bei ya cherehani ya mkono ya viatu vya ngozi na mashine ya kuprint ngozi dianakipao@gmail.com

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naomba ukipewa jibu nami nijuze

      Delete
  8. habari naomba kujua bei ya cherehani mimi ndo nataka kuanza biashara ya ushonaji

    ReplyDelete
  9. Wateja wa mikoani tunaweza kupataje kwa urahisi?pia ungeweka bei ingependeza sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Habar zakwenu.Mimi shida ni overlock yangu imekata sindano ya ndani(lumped)nitaipataje

      Delete
    2. Mimi mahitaji butterfly moja naweza pata kwa bei gani na je naweza kuletewa nipi kinondoni

      Delete
  10. Kwa sisi tulio mikoani mnatusaifiaje kwa mfano

    ReplyDelete
  11. Nahitaji cherehani ya kushona na kudariz ni bei gani nijib plz nna uhitaji sana

    ReplyDelete
  12. nahitaji kujua bei ya cherehani butterfly, overlocking machine na machine ya kubania vifungo vya wakina mama kwa kila kimoja kimoja kinagharimu kiasi gani. Majibu nijibiwe kwenye hii e-mail: ngonyanintopa@gmail.com.

    ReplyDelete
  13. Mna cherehani ya kudarizi,inauzwa bei gani?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nijibiwe kwenye email stevenevodio2010@gmail.com

      Delete
  14. Bado cherehani zipo? Nahitaji butterfy bei gani nipo kibaha.

    ReplyDelete
  15. Am sammy from kenya Voi,please can i get to known the price of the cheapest embroidery machine please, because i have to start my workshop soon.

    ReplyDelete
  16. Nahitaji cherahani ya kushona viatu vya ngozi (post bed) ntapata kwa bei gani? Inaweza kuwa single nidle or double

    ReplyDelete
  17. Naomba kujua being ya cherehani usha manual, nijuie naile inayoweza kudalizi, na bei za motor.

    ReplyDelete
  18. Nahitaji kujua bei za cherehani hizi,buterfly,usha na juki

    ReplyDelete
  19. Naitaji cherehani ya burtefly....sh ngap no zangu ni 0755538800..nipo mbezi beach

    ReplyDelete
  20. Maswali umeulizwa mengi LAKINI kimyaa

    ReplyDelete
  21. Nipo Tanga napataje mashine au lazima nije Dar

    ReplyDelete
  22. Sh ngapi machine ya butterfly naomba nijibiwe 0755374554

    ReplyDelete
  23. Naomba kujuwa. Bei ya juki. Plz plz

    ReplyDelete
  24. Niko Dodoma nauli bei za cherehani nataka kuanunua.
    Nipe bei za hizi cherehani

    Buterfly, Zou 43, Usha, Juki, mashine za Sweta Overlock

    ReplyDelete
  25. Hili ni tatizo kubwa kwa Watanzania. Mtu anatangaza biashara mtandaoni maswali hajibu, unatuma email haijibiwi! God have mercy on us!
    Ngoja na mimi nijaribu. Nauliza kama kuna mashine ya kuandika/kufuma logo na bei ni sh ngapi.

    ReplyDelete
  26. Naomba kufahamu bei ya cherehani aina ya buterfly

    ReplyDelete
  27. nahitaji cherehani za zigizag ni bei gani

    ReplyDelete
  28. Nahitaji mashine ya kufuma maswetabkama ipo nijulisheni nifike dukani
    0657252985 wasap

    ReplyDelete
  29. Nahitaji cherehani,lakini napenda kujua bei ya cherehani ya umeme na ya kawaida isiyotumia umeme. Ili nijue naweza ipi.

    ReplyDelete
  30. Nahitaji cherehan ya singer naomba unijuze bei take, alfu kunacherehan imeharibika kweny mobili so spare naweza kupata 0762795336

    ReplyDelete
  31. Naitaji mashine ya kukatia sample za vitambaa vya Suti kama mnazo bei gani naitaji

    ReplyDelete
  32. Mashine ya kukatia sample za vitambaa kwa ajili ya kuwapa wateja kama ipo naomba bei asante

    ReplyDelete
  33. Namba yangu ya cm 0758318152
    Jina luka Nassary

    ReplyDelete
  34. Nauliza bei ya butterfly napo dukani kwako

    ReplyDelete
  35. Nataka kujua bei ya butterfly kesho tufanye biashara

    ReplyDelete
  36. Bei ya mashine za maswta tafadhr.

    ReplyDelete
  37. Bei ya mashine za maswta tafadhr.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Cherehani ya kutarizi bei gani

      Delete
    2. Mm naitaji charahani ya kufumia tundu za vifungo naweza kuipata nabei

      Delete
  38. Hivi zinatufikia sote maana mimi nauzia kigoma

    ReplyDelete
  39. Andika bei ya cherehani ya kudarizi,isiwe Overlock(isaya8873@gmail.com)

    ReplyDelete
  40. Me naitaji mashine yakushonea zipu za mifuko

    ReplyDelete
  41. Ninauza Cherehani aina ya Singer ukihitaji nitafute kwa number hi 0628 464342

    ReplyDelete
  42. ahsante.... samahani hivi naweza kupata Kuna kifaa flani hivi vipo viwili ndani ya chelehani ya singer vinatumika kuzungusha meno Sasa kimelika na meno hayazunguki vip vinauzwa??na no
    sh ngapi

    ReplyDelete
  43. Cheleani aina ya butterfly bei gan

    ReplyDelete
  44. Naitaji cherehani aina ya butter fly naipata kwa bai gani

    ReplyDelete
  45. Please kwa yeyote mwenye cherehan aina ya butterfly na Singer naomba anicheki kwa namba hizi 0746212962...ipo whatsapp na kwa kupiga ipo hewani pia...

    ReplyDelete
  46. Mashine gani ni nzuri kwa kusomea na ya kisasa na ni bei gani nahitaji nipo Arusha

    ReplyDelete
  47. Bellow,naulizia bei za Mashine naomba price list

    ReplyDelete
  48. nauza motta ya cherehani za umeme bei ni laki 3 tu.nipo moshi mawasiliano 0755648376,0620692718

    ReplyDelete
  49. Nawapigia simu ata hampokei mpo serious na biashara.

    ReplyDelete
  50. Gun type portable electric sewing Bei gani

    ReplyDelete
  51. Habar kaka mim nifund wamshine zakushonea nimefanya kazi kiwndan ninauzoefu mkubwa naweza kupta ajira yakuziaasamble nakutengeneza pia0787536184

    ReplyDelete
  52. Samahani, nahitaji mashine ya kufumia Masweta inayotumia umeme na mkono. Naweza kuipata?

    ReplyDelete
  53. Habar,nahitaj cherehan ya darizi ningeomba mnitumie picha na bei zake kwa namb 0787595519 naitwa faudhia

    ReplyDelete
  54. Je sewing machine za mkono zinapatikana

    ReplyDelete
  55. Ninashida na machine au cherehani ya kufumia masweta, tafadhari.

    ReplyDelete
  56. Natafuta singer 188k1 je inapatika kwa pesa ngapi
    0625005405

    ReplyDelete
  57. Niambie bei ya mashine ya kawaida ya kushona na mota 0759412336 kwa normal sms

    ReplyDelete
  58. Nashida na mashine ya kushonea viatu vya ngozi sh ngap nijibu ata kwa sms au watsap no 0621005153

    ReplyDelete
  59. Naomba kujua bei ya machine ya overlock aina ya sagamsey, nijibu kwa sms au WhatsApp kwa namba 0718972297

    ReplyDelete
  60. Habari nahitaji cherehani ya kushona na kudariz

    ReplyDelete
  61. habari
    natafuta cherehani aina ya butterfly ya kushona kawaida zinapatikana kwa bei gani nicheki kwa no 0688996209

    ReplyDelete
  62. Naitaji namba zenu za sim kwa mawasiliano zaidi

    ReplyDelete
  63. Nahitaji mashie aina ya butterfly je Ni sh ngap 0656378477

    ReplyDelete
  64. Habari naomba nitumie aina 3za chereani zinazo tamba na bei yake pls 🙏whatsapp 0762580382 asante

    ReplyDelete
  65. Nahitaji cherehani imara inayoweza kushona aina mbalimbali za mishono, iwe inatumia umeme na kawaida. Naomba na bei kupitia sms au whatsap namba 0766924588.
    I'm serious about this.

    ReplyDelete
  66. Ninashida na spea ya cherehani ya singer, bobbin cace, nitapata? Nijulishe kea sms au whatsap no 0744618946

    ReplyDelete
  67. Nitumie namba zenu za simu

    ReplyDelete
  68. Ninahitaji cherehani ya bainding za mabegi.

    ReplyDelete
  69. Nahitaji brothe kubwa

    ReplyDelete
  70. Naomba kuuliza mnauza jumla na lejaleja 0710 66 70 88

    ReplyDelete
  71. Habari sasa hivi baada ya kutoka pale sokoni mmehamia wapi

    ReplyDelete
  72. Nahtaj pasi ya zigzag maxhine ya Singer

    ReplyDelete
  73. Nahitaj mashine aina ya 20u bei gan ?zgzg

    ReplyDelete
  74. Habari napatikana kibaha mnawakala hukuu ?? Au nyie mnafanya delivery??

    ReplyDelete
  75. Nahitaji mkasi wa kutumia umeme naupata kwa sh ngapi

    ReplyDelete
  76. Naitaji cherhani naomba namba zenu

    ReplyDelete
  77. Naitaji cherehani ya overlock niko singida

    ReplyDelete
  78. Tunaomba bei za cherehani ili tujipange

    ReplyDelete
  79. Mwenye uhitaji na cherehani used grade A karbu 0786728019

    ReplyDelete