Mchuuzi wa mizigo katika Soko Kuu la Kariakoo akitoka katika geti kuu la kutokea magari mara baada ya kushusha mizigo maarufu kama Shimoni, huku akiwa amebeba mkungu wa ndizi.
JIPATIE NYAMA BORA SOKONI KARIAKOO
Pichani ni wafanyabiashara wa nyama katika Soko kuu la kariakoo wakiwa katika eneo lao la kazi kama inavyoonekana pichani. Ambapo nyama ya kawaida inauzwa Sh. 5000/= kwa kilo.
Jenga afya kwa kula Maini bei yake Sh. 7000/= kwa kilo tu kwa takribani wiki hii!Sokoni Kariakoo unakamilisha mlo kamili kwa ajili ya familia yako kwa gharama ndogo tuuu! Karibu sanaaa!
Bwana Fadhili Rashidi akiwa katika sehemu yake ya biashara ndani ya Sokoo Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam. kwa mahitaji ya nyama unaweza kumpata kwa mawasilianop yafuatayo. 0754 418469
Nyama aina ya beef stake inayouzwa Sh. 7000/= kwa kilo;bei hii kila mmoja wetu anaweza kumudu kujipatia kitoweo!
No comments:
Post a Comment