Tuesday, September 10, 2013
NGUVU YAKO NI MTAJI!
Jamaa mmoja ambaye jina lake halikufahamika mapema, akiwa amebeba gunia
la vitungu lenye uzito zaidi ya 100Kg za vitunguu linalouzwa kwa Sh.
90,000/= akitoka nje ya lango kuu la kutokea sokoni maarufa kama
"Shimoni". ndani ya soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam
Subscribe to:
Posts (Atom)