Monday, October 28, 2013

KMC-Staffs

 Meneja Utumishi Msaidizi wa Shirika la Masoko ya Kariakoo Bw. Charles Sombe akiendelea na majukumu yake ya kila siku ofisini kwake.




Watumishi wa Shirika la Masoko Bi.Ikunda Mambo anayesoma gazeti na Saum Kiula wakiwa ofisini mapema leo  Jumatatu asubuhi.







Pichani hapo juu ni baadhi ya bidhaa mbalimbali kwa matumizi ya nyumbani zinapatikana Sokoni Kariakoo.

Baadhi ya wafanyabiashara wa eneo la soko la wazi katika Soko Kuu la Kariakoo, hapa unaweza kupata karoti, tango, Pilipili hoho, nyanya chungu  n.k. vikwa freshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! kabisa

 MUSYANGI HERBALISTIC CLINIC & RESEARCH CENTER


Elias Samweli Mtoa huduma wa Musyangi Herbalist Clinic & Research Center
Pichani hapo ni watoaji wa tiba asilia kwa Magonjwa mbalimbali ya binadamu; pia wanatoa ushauri na utafiti wa dawa za asilia. sasa wapo Sokoni Kariakoo


Baadhi ya dawa wanazozitoa ni pamoja na hizi  zifuatazo
 Preki: Hii inatibu Kisukari na Kuumwa viungo
Premo: Inatibu  Msukumo mkubwa wa damu na mdogo (BP)
Jocrima: Hii inatibu maradhi yote ya kinywa na koo, fizi kutoa damu, meno kuuma, kupataganzi, vidonda vya koo
Salige: Hii ni dawa ya kusafisha tumbo na kuondoa minyoo, amoeba,gesi, mafuta cholestral, sumu, n.k
Musyangi Herbalist Clinic  & Research Center wanaptikana kwa mawasiliano yafuatayo.
0655 572353 au 0755 572353 au 0783 572353






No comments:

Post a Comment