Familia ya Wanatabora imependezaa saaana! Katika kijiji hiki kuna mradi wa kutengeneza crips za viazi na mihogo.2SEEDS Network husimamia kwa karibu sana maendeleo yake.
Hapa ni kijijini tabora (ndogo) moja ya vijiji vilivyopo wilayani Korogwe;hapa katika picha kutoka kulia ni Bwana Anderson Shaka Mkuu wa Kitengo cha ICT katika Shirika la Masoko ya Kariakoo,Christian Mlay kutoka Habari Mazao Founders,Munguatosha Mfanyabiashara toka Soko Kuu la Kariakoo na Henry Rwejuna Mtakwimu wa Shirika la Masoko ya Kariakoo.Wapo na wenyeji wao dada Haliyahewa.