Bwana Paul Kiwera Mkaguzi Mkuu wa ndani wa Shirika la Masoko ya Kariakoo akiwa Ofisini kwake.
Katika picha hapo juu ni Bwana Flavian Mlellwa Mkuu wa kitengo cha Uhandisi katika Shirika la Masoko ya Kariakoo akiwa Ofisini kwake.
Bwana Rogers Kuyonga akiwa Ofisini kwa Muhandisi wa Shirika akipewa maelekezo ya namna ya kuwatangazia matangazo mbalimbali wafanyabiashara wa sokoni hapo, mkononi mwake akiwa ameshika kipaza sauti.
Baadhi ya Mitambo inayo tumika kwa ajili ya kutangaza matangazo mbalimbali katika Shirika la Masoko ya Kariakoo; Soko kuu la Kariakoo lipo Jijini DSM.
Tuesday, October 8, 2013
ICT Infrustracture Survey for KMC
Bwana Frank Mangowi Mtaalamu wa ICT wa Shirika la Masoko ya Kariakoo akiwa juu ya paa la Soko Kuu la Kariakoo lililopo Jijini Dar Es Salaam akifanya savei kwa ajili ya kufunga mitambo ya mawasiliano ya mtandao (Network survey) mapema leo asubuhi.
Pichani hapo juu Bwana Frank Mangowi (Mtaalamu wa ICT) amesimama katika paa mojawapo la soko kuu la Kariakoo jijini DSM.Ufahamu pia paa lote la soko kuu limetengenzwa kwa zege zito la cementi (heavy concete)
Hii ni sehemu tuu ya mapaa kadhaa ya Soko Kuu la Kariakoo lililopo Jijini Dar Es Salaam.Jengo hili lina miaka 39 tangu lilipozinduliwa na kuanza kutumiaka mnamo tarehe 8 Desemba 1974.
Bwana Rogers Kuyonga akiwa juu ya paa la Soko kuu la Kariakoo akirekebisha nyaya za mawasiliano ya Redio ya mawasiliano(Radio call) ili kuleta ufanisi bora wa mawasiliano ndani na nje ya soko kuu hapa Jijini Dar Es Salaam..

PEMBEJEO ZA KILIMO ZINAPATIKANA KARIAKOO SOKONI
Pichani ni Bw. Massawe akionesha chupa yenye dawa ya kuzuia magugu, hii ni baadhi ya bidhaa zinazopatikana ndani ya duka lake. dawa nyinginezo zinazopatikana dukani kwake ni hizi zifuatazo
Carate hii ni dawa ya kuua wadudu kwa Sh. 15000/=
Rondo hii ni dawa ya kuzuia magugu Sh. 13000/=
Roundup Sh. 14000/= kwa bei za sasa.
Zaidi sana kwa mahitaji yako ya shughuli za kilimo fika dukani Kariakoo ndani ya Soko kuu
Massawe akionesha dawa aina ya Karate ya kuua wadudu katika mimea
Pichani ni duka la (Emanuel Agro) ambalo Bw. Massawe ni muuzaji wa pembejeo za kilimo.
unaweza kumpata Bw. Massawe kwa mawasiliano piga simu namba 0787 021078 au 0714 828809
Subscribe to:
Posts (Atom)