Muda mfupi kabla ya kuanza ibada ya ndoa katika Kanisa la KKKT Kijitonyama Jijini Dar Es Salaam;kutoka kushoto ni Bwana harusi Anderson Shaka Mjanga na bestman wake bwana Aron Mjema,wengine ni Frank Mangowi mfanyakazi wa kitengo cha ICT KMC na mwingine ni Kamili Simba pia mfanyakazi wa KMC
Muda mfupi kabla kufunga ndoa Bwana Harusi na Best Man wake wakiwa katika viwanja vya kanisa la KKKT Kijitonyama Jijini Dar Es Salaam. Hii ilikuwa Jumamosi ya tarehe 19/10/2013
Katika picha hapo juu ni kikundi cha Matarumbeta cha Kanisa la KKKT Kijitonyama jijini DSM kikitumbuiza kanisani hapo mara baada ya Bwana Anderson Shaka Mjana Na Bi Neema Elibariki Mshanga kufunga ndoa yao kanisani hapo Jumamosi ya tarehe 19/10/2013. Bwana harusi ni Mkuu wa Kitengo cha ICT katika Shirika la Masoko ya Kariakoo na Bibi harusi ni Mjasiriamali.
Maharusi wakiwa katika picha ya pamoja na ndugu na jamaa mara baada ya kufunga ndoa katika Kanisa la KKKT Kijitonyama Jijini Dar Es Salaam,Jumamosi ya tarehe 19/10/2013.
Maharusi wakiwa katika picha ya pamoja na Wazazi wa pande zote mbili yaani familia ya Mzee Mjanga na Mzee Mshanga;mara baada ya vijana wao kufunga ndoa jumamosi ya tarehe 19/10/2013, kanisani Kijitonyama KKKT.
Ndugu wa Bwana harusi wakifurahia mara baada ya Ibada ya kufunga ndoa kumalizika kati ya Bwana Anderson Shaka Mjanga na Bi Neema Elibariki Mshanga KKKT pale Kijitonyama.Mwenye suti kushoto ni mdogo wake na Bwana harusi Daktari S.Mjanga toka Hospitali ya Mkoa wa Morogoro;na mwingine ni binamu yake na Bwana harusi.
Muda mfupi baada ya Bwana Anderson Shaka Mjanga kufunga ndoa na Bi Neema Elibariki Mshanga.
Katika picha hapo juu ni kikundi cha mameds waliopamba sherehe za harusi
ya Bwana Anderson Shaka na Bi Neema Mshanga kwa kucheza Show kali!
iliyofanyika Jumamosi ya tarehe 19/10/2013.
No comments:
Post a Comment