Wateja wakijipatia mahitaji yao sokoni Kariakoo kama inavyoonekana hapo juu pichani, hili ni eneo la wazi la Soko Kuu la Kariakoo Jijini Dar es Salaam.
Njegere |
Baadhi ya bidhaa ambazo zimeonekana kupatikana kwa wingi sokoni Kariakoo ni pamoja na nyanya, vitunguu maji & swaumu.
Pichani ni mfanya biashara wa Soko Kuu la Kariakoo eneo la Soko la wazi Merck Wandao Twanga ambae pia ni Mwenyekiti wa wafanya biashara wa eneo la wazi sokoni Kariakoo. |
Jipatie karoti, hoho, tango
No comments:
Post a Comment