Tuesday, October 8, 2013

PEMBEJEO ZA KILIMO ZINAPATIKANA KARIAKOO SOKONI





Pichani ni Bw. Massawe akionesha chupa yenye dawa ya kuzuia magugu, hii ni baadhi ya bidhaa zinazopatikana ndani ya duka lake. dawa nyinginezo zinazopatikana dukani kwake ni hizi zifuatazo
Carate hii ni dawa ya kuua wadudu kwa Sh. 15000/=
Rondo hii ni dawa ya kuzuia magugu Sh. 13000/=
Roundup Sh. 14000/= kwa bei za sasa.
Zaidi sana kwa mahitaji yako ya shughuli za kilimo fika dukani Kariakoo ndani ya Soko kuu

Massawe akionesha dawa aina ya Karate ya kuua wadudu katika mimea

Pichani ni duka la (Emanuel Agro) ambalo Bw. Massawe ni muuzaji wa  pembejeo za kilimo.
unaweza kumpata  Bw. Massawe kwa mawasiliano piga simu namba  0787  021078 au 0714  828809

27 comments:

  1. KUNA MBEGU ZA MANGOSTUNI(mangosteen)?

    ReplyDelete
  2. NPK fertilizer for planting 14:23:14
    Naweza pata na nishingapi kwa mfuko
    Nanishingapi pia kwa ton 1

    ReplyDelete
  3. Roundup shingap mkuu bei ya jumla

    ReplyDelete
  4. Lilo shingapi kwa bei ya jumla

    ReplyDelete
  5. Nahitaji mbegu za nyanya aina ya spaina

    ReplyDelete
  6. Nahitaji mbegu ya nyanya aina ya spaina

    ReplyDelete
  7. Spaina hatuna, tunazo aina ya Malkia na Asila. Namba zetu ni 0714 828809 na 0785 756676

    ReplyDelete
  8. sukari FI 250 inabei gani

    ReplyDelete
  9. Natafta mbegu za papai

    ReplyDelete
    Replies
    1. Papai zipo Malkia za mbegu 25 bei 10,000/ baada ya wiki mbili tutaingiza za g1 bei itakuwa 18,00

      Delete
  10. Papai zipo Malkia za mbegu 25 bei 10,000/ baada ya wiki mbili tutaingiza za g1 bei itakuwa 18,000/

    ReplyDelete
  11. Habari nawezapata mbegu ya ufuta na ni shillingi napi

    ReplyDelete
  12. Naitwa Jamal naomba kuulizia bei ya Mbegu ya mpunga aina ya Saro 5

    ReplyDelete
  13. Natafuta mbegu ya pilipili mwendokasi

    ReplyDelete
  14. Naam tunauza jumla na rejareja pia, 0714828809 Whatsapp

    ReplyDelete
  15. dawa ya palizi ya mahindi cleaner inapatikana apo nash ngap jmla

    ReplyDelete
  16. Cleaner tunauza 22,000/ kwa JUMLA, 0714828809

    ReplyDelete
  17. Hii number hampokei naitaji bidhaa kwenu

    ReplyDelete
  18. Naitaji mbegu ya mipapai

    ReplyDelete
  19. Habari za muda huu ndugu zangu, karibuni sana sana, kwenye idara hii ya kilimo, Ushauri ni Bure kabisa, piga ama ujumbe Whatsapp kwenye namba 0714 828809, tunapatika kariakoo, ama soko kuu la kisutu gorofa namba 3 duka namba 151.

    ReplyDelete
  20. Bidhaa tulizo nazo ni sumu za wadudu kwenye mashamba, majumbani, kuzuia wadudu wanaopekecha mbao majumbani, mbolea za kupuliza na za kuweka ardhini, Mabomba ya kupuliza dawa, yapo ya nayotumia mafuta, kuchaji na yake ya many, water can za kumwagilia , sumu za mchwa mashambani kwenye majumba na Hata viwandani, MBEGU za matunda ,mbogamboga aina zote, karibu sana sana,,,,, 0714828809, call or Whatsapp.

    ReplyDelete
  21. Habari za muda huu, Karibuni sana kwa mahitaji ya pembejeo za kilimo. Kama majembe mapanga, reki Mabuti ya mvua Makoti ya mvua , Booster za mimea sumu za wadudu aina zote, super grow, Mabomba ya kupuliza dawa aina zote, MBEGU za matunda , mboga mboga, MBEGU za Mahindi, kunde maharage Karibuni sana sana, 0714 828809 tupo soko kuu la Kisutu, pia tunafanya DELIVERY.

    ReplyDelete