| Meneja Mkuu Ndugu Frolens M. Seiya akiwa ofisini kwake na wageni kutoka Asasi ya 2Seeds Network kutoka Marekani hawapo pichani. |
| Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko ya Kariakoo (kulia) na James Meeks Mkuu wa asasi ya 2Seeds Network nchini Marekani (wa pili) |
| Wageni wakipata matunda huku mazungumzo yakiendelea ofisini kwa Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko ya Kariakoo Jijini Dar es Salaam |
Wageni na wenyeji wakimsilikiliza kwa Makini Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko ya Kariakoo Ofisini kwake
|
| James Meeks pamoja na Meneja Mkuu la Masoko ya Kariakoo (walio simama katikati) wakiwa nje ya ofisi |
| James Meeks akiagana na Meneja Mkuu wa Shirika Ndugu Frolens M. Seiya |