KMC-Staffs
Meneja Utumishi Msaidizi wa Shirika la Masoko ya Kariakoo Bw. Charles Sombe akiendelea na majukumu yake ya kila siku ofisini kwake.Watumishi wa Shirika la Masoko Bi.Ikunda Mambo anayesoma gazeti na Saum Kiula wakiwa ofisini mapema leo Jumatatu asubuhi.
Pichani hapo juu ni baadhi ya bidhaa mbalimbali kwa matumizi ya nyumbani zinapatikana Sokoni Kariakoo.
MUSYANGI HERBALISTIC CLINIC & RESEARCH CENTER
Elias Samweli Mtoa huduma wa Musyangi Herbalist Clinic & Research Center |
Pichani hapo ni watoaji wa tiba asilia kwa Magonjwa mbalimbali ya binadamu; pia wanatoa ushauri na utafiti wa dawa za asilia. sasa wapo Sokoni Kariakoo