Tuesday, October 8, 2013
PEMBEJEO ZA KILIMO ZINAPATIKANA KARIAKOO SOKONI
Pichani ni Bw. Massawe akionesha chupa yenye dawa ya kuzuia magugu, hii ni baadhi ya bidhaa zinazopatikana ndani ya duka lake. dawa nyinginezo zinazopatikana dukani kwake ni hizi zifuatazo
Carate hii ni dawa ya kuua wadudu kwa Sh. 15000/=
Rondo hii ni dawa ya kuzuia magugu Sh. 13000/=
Roundup Sh. 14000/= kwa bei za sasa.
Zaidi sana kwa mahitaji yako ya shughuli za kilimo fika dukani Kariakoo ndani ya Soko kuu
Massawe akionesha dawa aina ya Karate ya kuua wadudu katika mimea
Pichani ni duka la (Emanuel Agro) ambalo Bw. Massawe ni muuzaji wa pembejeo za kilimo.
unaweza kumpata Bw. Massawe kwa mawasiliano piga simu namba 0787 021078 au 0714 828809
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KUNA MBEGU ZA MANGOSTUNI(mangosteen)?
ReplyDeleteNahitaji mbegu za bamia
ReplyDeleteHabari za saahii
ReplyDeleteNPK fertilizer for planting 14:23:14
ReplyDeleteNaweza pata na nishingapi kwa mfuko
Nanishingapi pia kwa ton 1
Roundup shingap mkuu bei ya jumla
ReplyDeleteLilo shingapi kwa bei ya jumla
ReplyDeleteNahitaji mbegu za nyanya aina ya spaina
ReplyDeleteNahitaji mbegu ya nyanya aina ya spaina
ReplyDeleteSpaina hatuna, tunazo aina ya Malkia na Asila. Namba zetu ni 0714 828809 na 0785 756676
ReplyDeletesukari FI 250 inabei gani
ReplyDelete90,000/
DeleteNatafta mbegu za papai
ReplyDeletePapai zipo Malkia za mbegu 25 bei 10,000/ baada ya wiki mbili tutaingiza za g1 bei itakuwa 18,00
DeletePapai zipo Malkia za mbegu 25 bei 10,000/ baada ya wiki mbili tutaingiza za g1 bei itakuwa 18,000/
ReplyDeleteHabari nawezapata mbegu ya ufuta na ni shillingi napi
ReplyDeleteNaitwa Jamal naomba kuulizia bei ya Mbegu ya mpunga aina ya Saro 5
ReplyDeleteMnauza jumla?
ReplyDeleteNatafuta mbegu ya pilipili mwendokasi
ReplyDeleteMwendokasi zipo, 15,000/ Kwa 10g
DeleteNaam tunauza jumla na rejareja pia, 0714828809 Whatsapp
ReplyDeletedawa ya palizi ya mahindi cleaner inapatikana apo nash ngap jmla
ReplyDeleteCleaner tunauza 22,000/ kwa JUMLA, 0714828809
ReplyDeleteHii number hampokei naitaji bidhaa kwenu
ReplyDeleteNaitaji mbegu ya mipapai
ReplyDeleteHabari za muda huu ndugu zangu, karibuni sana sana, kwenye idara hii ya kilimo, Ushauri ni Bure kabisa, piga ama ujumbe Whatsapp kwenye namba 0714 828809, tunapatika kariakoo, ama soko kuu la kisutu gorofa namba 3 duka namba 151.
ReplyDeleteBidhaa tulizo nazo ni sumu za wadudu kwenye mashamba, majumbani, kuzuia wadudu wanaopekecha mbao majumbani, mbolea za kupuliza na za kuweka ardhini, Mabomba ya kupuliza dawa, yapo ya nayotumia mafuta, kuchaji na yake ya many, water can za kumwagilia , sumu za mchwa mashambani kwenye majumba na Hata viwandani, MBEGU za matunda ,mbogamboga aina zote, karibu sana sana,,,,, 0714828809, call or Whatsapp.
ReplyDeleteHabari za muda huu, Karibuni sana kwa mahitaji ya pembejeo za kilimo. Kama majembe mapanga, reki Mabuti ya mvua Makoti ya mvua , Booster za mimea sumu za wadudu aina zote, super grow, Mabomba ya kupuliza dawa aina zote, MBEGU za matunda , mboga mboga, MBEGU za Mahindi, kunde maharage Karibuni sana sana, 0714 828809 tupo soko kuu la Kisutu, pia tunafanya DELIVERY.
ReplyDelete