| Hili ni eneo la soko la Kariakoo, kwa jina maarufu kama soko la wazi ambalo unaweza kupata mbogomboga, viazi , matunda na bidhaa nyinginezo kama invyoonekana. |
Tuesday, February 4, 2014
MATUKIO KATIKA PICHA LEO ASUBUHI SOKONI KARIAKOO
Friday, January 31, 2014
PATA VITUNGUU SWAUM, KAROTI, HOHO KWA BEI POA KABISA SOKONI KARIAKOO
mfanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo Jijini Dar es Salam Bwana Athumani Bungulumo akiwa katika meza yake ya biashara ya viungo vya chakula kama anavyoonekana hapo hapo juu pichani. bidhaa hizi unaweza kununua kwa bei kati ya shilingi 100/= na 200/=
Au unaweza kuweka oda ya bidhaa hizi kwa Mr. Athumani kwa mawasiliano yafuatayo.
0787 758222
Pata vitungu hapa kwa Munguatosha Sokoni Kariakoo eneo la maarufu kama Shimoni. Je unahitaji bidhaa hizi? unaweza kununua hoho kwa shilingi 1,000/= hadi 1,500/= kwa kilo moja
0752 884793 nipigie tufanye biashara
| Hoho safi kutoka Kariakoo Soko Kuu Jijini Dar es Salaam- Tanzania |
Monday, January 27, 2014
SOKO KUU LA KARIAKOO: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO KILICHOOHUSU MFUMO MPYA WA UTOAJI TAARIFA ZA MAZAO KUPITIA SIMU
Wawakilishi wa Shirika la 2Seeds (Moniq Galvao wa kwanza kushoto na wa pili kulia Soph) wakiwa na Mwakilishi wa Shirika la Masoko ya Kariakoo Anderson Shaka wa pili kushoto na Bariki wa kwanza kulia mwakilishi wa Habari Mazao) wakiwa katika kikao kilicho fanyika ndani ya ofisi za Shirika la Masoko ya Kariakoo Jijini Dar es Salaam. Kikao hiki kilihusu Uboreshwaji wa mfumo wa utoaji taarifa za mazao kupitia simu ya kiganjani.
Afisa biashara wa Shirika la Masoko ya Kariakoo Bibi. Mwinga Luhoyo akiwa katika kikao cha Uundaji wa Mfumo wa utunzaji wa kumbukumbu za Shirika.
Wajumbe wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kikao kumalizika. kuazia wa kwanza kushoto waliosimama ni
1. Anderson Shaka (Kariakoo Market)
2. Frank Mangowi (Kariakoo Market)
3. Sugwejo Kaboda (Habari Mazao)
4. Christian (Habari Mazao)
5. Bariki (Habari Mazao)
6. Soph (2Seeds Network)
7. Moniq (2Seeds Network)
MAJADILIANO KUHUSU UUNDAJI WA MFUMO WA UTUNZAJI KUMBUKUMBU ZA SHIRIKA
MATUKIO KATIKA PICHA-KOROGWE
| Katika picha hapom juu ni Anna ambae ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la 2Seeds (Tanzania) kutoka Marekani lenye ofisi zake Tanzania akizungumza katika mkutano. |
Anderson Shaka Mjanga akizungumza kwa niaba ya Shirika la Masoko ya Kariakoo katika mkutano uliofanyika Wilayani Korogwe hivi karibuni.
Friday, January 24, 2014
SAMAKI KING FISH
Tuesday, January 21, 2014
BCS - WAUZAJI WA MBEGU BORA ZA KILIMO CHA KISASA, WANAPATIKANA SOKONI KARIAKOO
Huu ni mwonekano wa duka la BCS, Unaweza kuwasiliana nao kwa mawasiliano yafuatayo
+255 (0)754 272853
+255 (0) 787272 853
+255 (0) 715572 853
|
Monday, January 20, 2014
MATUKIO KATIKA PICHA
Pichani hapo juu ni watumishi wa Shirika la Masoko ya Kariakoo Jijini Dar es Salaam, aliyesimama ni Mkuu wa Idara ya Usafi wa Shirika (Primitiva Kamugisha) na aliyekaa kulia kwake ni Afisa biashara wa Shirika la Masoko Kariakoo (Bi. Soi) wakizungumza na mmoja wa wafanyabiashara wa sokoni Kariakoo (haonekani pichani) hivi karibuni katika ofisi ya Afisa biashara wa Shirika.
| PATA BAMIA, NYANYA CHUNGU NA HOHO HAPA KARIAKOO SOKONI. |
Friday, January 10, 2014
I.S & M (METALS) LIMITED
| BUGGATI SPRAYER ZINAUZWA SHILINGI 25,000/= |
Pichani hapo juu ni kifaa kinachotumika kunyunyizia dawa katika bustani na maeneo mengine.
I.S & M Metals Limited ni wauzaji wa pembejeo za kilimo sokoni Kariakoo Jijini Dar es Salaam-Tanzania.
Pichani hapo juu ni kifaa kinachotumika kunyunyizia dawa katika bustani na maeneo mengine.
Unaweza kuwapata I.S & M Metals Limited, Sokoni Kariakoo
Mawasilano yao ni: 0767 277473
0715 484444
Email: baly@intafrica.com
Wednesday, January 8, 2014
NAFAKA, MATUNDA NA MBOGA MBOGA ZINAZOPATIKANA SOKONI KARIAKOO
Tuesday, January 7, 2014
KMC STAFF
Pichani ni baadhi ya watumishi wa Shirika la Masoko ya Kariakoo Jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye ofisi ya Afisa biashara mapema leo asubuhi.
Subscribe to:
Posts (Atom)