Zabibu Sokoni Kariakoo
Katika picha hapo juu ni matunda aina ya zabibu ambazo huingizwa katika Soko Kuu la Kariakoo zikitokea mkoani Dodoma.Leo zilikuwa zikiuzwa kwa bei ya Sh.2500/- kwa kilo na kwa bei ya jumla ilikuwa ni Sh.30,000/-kwa katoni au Box
No comments:
Post a Comment