Mtumishi wa TCRA Bwana Lumumba akiwa anachukua taarifa mhimu kutoka katika Fomu ya maombi iliyowasilishwa kwa ajili hatua za awali za usajili ili kununua ShortCode kwa ajili ya matumizi ya Shirika la Masoko ya Kariakoo.Aliyesimama ni Bwana Anderson Shaka Mkuu wa Kitengo cha ICT kutoka Shirika la Masoko ya Kariakoo Jijini Dar Es Salaamu,ambaye aliambatana na Bi.Monique Galvao Mratibu wa Masoko Project kutoka 2SEEDS Network.
|
No comments:
Post a Comment