WAFANYA BIASHARA WAKIENDELEA NA SHUGHULI ZAO ZA KILA SIKU SHIMONI KARIAKOO
Pichani ni baadhi ya bidhaa zinazopatikana Shimoni Kariakoo. Ikionesha unaweza kupata viazi, vitunguu na bidhaa nyingine nyingi. Viazi vinavyoonekana pichani hapo juu vinauzwa shilingi 800 kwa kilo moja.
Mfanyabiashara maarufu wa Viazi akifurahuia namna Shirika la Masoko la Kariakoo linavyootumia Teknologia katika kupanua wigo wa biashara ndani na nje ya Tanzania. Unaweza kumpata :Bwana Shomari Mkang'a mfanya biashara huyu kwa mawasiliano yafuatayo Simu :0716 231524
No comments:
Post a Comment