Jamaa mmoja ambaye jina lake halikufahamika mapema, akiwa amebeba gunia
la vitungu lenye uzito zaidi ya
100Kg za vitunguu linalouzwa kwa Sh.
90,000/= akitoka nje ya lango kuu la kutokea sokoni maarufa kama
"Shimoni". ndani ya soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment