Katika picha hapo juu ni Wajumbe wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Masoko Kariakoo ambacho kimefanyika leo Ijumaa tarehe 21/2/2014 katika ukumbi wa mikutano wa shirika hilo.
Wajumbe wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wakimsikiliza Meneja Mkuu wa shirika la Masoko ya Kariakoo yeye kama Mwenyekiti wa kikao hicho alipokuwa akiongoza leo Ijumaa tarehe 21/2/2014.
Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko ya kariakoo Bwana Florence Seiya akifafanua jambo wakati wa kikao cha baraza la Wafanyakazi katika shirika la Masoko Kariakoo-(SMK); kwa kawaida kikao hiki huhudhuriwa pia na Mjumbe mmoja wa TUICO kutoka Ofisi kuu ya TUICO mkoa.
Katika picha hapo juu ambaye amesimama na kunyosha mkono ni Katibu Mkuu wa TUICO kutoka mkoa wa Ilala DSM akiwaaga wajumbe wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi; mara baada ya kumalizika kwa kikao hicho.Katika hapo juu ni Katibu wa TUICO toka mkoani Ndugu Willy Kibona katikati;akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa TUICO katika Shirika la Masoko ya Kariakoo, Bibi Ester Chogero Katibu na Bwana Ncheye Kulwa ambaye ni Mjumbe wa TUICO katika Shirika