Monique Galvao akipokea zawaidi ya muwa kutoka kwa mfanyabiashara(wa kwanza kulia) wakati Monique alipotembelea sehemu ya chini ya Soko la Kariakoo maarufu kama Shimoni mapema leo asubuhi.
Mtakwimu wa Shirika la Masoko la Kariakoo Bw. Henry Rwejuna akimuonesha ramani ya Soko la Kariakoo sehemu ya chini(Shimoni) Monique ambaye ni Mratibu wa Mradi wa Masoko (Masoko Project) kutoka Shirika la 2Seeds Network.
Henry Rwejuna akitoa maelekezo ya namna anavyo fanya shughuli zake sokoni hapo.
Sophie Hollingsworth Mratibu wa Mradi wa Masoko akiwa ofisini kwake Sokoni Kariakoo.
Sophie Hollingsworth (kushoto) akiwa na Monique Galvao wakiwa wamefurahi wakati wa mapumziko.