Pichani hapo juu ni baadhi ya wafanyabiashara wa soko la wazi la Kariakoo, wakiwa na wateja wao mapema leo asubuhi. Soko la wazi Kariakoo unaweza kupata mahitaji yako mbalimbali kama inavyoonekana pichani hapo juu.
Jipatie nyanya kwa Shilingi 5,000=/ tu sokoni Kariakoo Jijini Dar es salaam Tanzania, bidhaa hizi zinatoka sehemu mbalimbali nchini Tanzania kama vile Morogoro, Mwanza, Iringa, Tanga na maeneo mengine nchini.
|
Nyanya zikiwa kwenye sado ya lita4 zikiuzwa kwa shilingi 5,000 |
|
Viazi vinauzwa kwa shilingi 7,000=/ tu! |